Betway
Bet Kuanzia Tsh. 100
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya Betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%
Jiunge SasaKatika msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/26 wenye jumla ya vilabu 16, Young Africans inaongoza ikiwa na jumla ya alama 44 huku ikiwa imecheza michezo 18 na kushinda michezo 13. Inafuatiwa na Simba ambayo ina jumla ya alama 36 baada ya kucheza michezo 17 na kushinda michezo 10.
Kwa upande mwingine, timu tatu za mwisho katika msimamo ni Fountain Gate, Tanzania Prisons, na KMC ambazo zina alama 16, 13, na 8.
Hapa chini tumekuwekea msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/26.
| # | Team | MP | W | D | L | GD | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1. |
|
18 | 13 | 5 | 0 | 35 | 44 |
| 2. |
|
17 | 10 | 6 | 1 | 20 | 36 |
| 3. |
|
18 | 8 | 10 | 0 | 18 | 34 |
| 4. |
|
18 | 7 | 8 | 3 | 3 | 29 |
| 5. |
|
18 | 8 | 4 | 6 | 1 | 28 |
| 6. |
|
18 | 6 | 8 | 4 | 2 | 26 |
| 7. |
|
18 | 6 | 6 | 6 | 1 | 24 |
| 8. |
|
18 | 6 | 6 | 6 | -1 | 24 |
| 9. |
|
18 | 5 | 8 | 5 | -4 | 23 |
| 10. |
|
18 | 5 | 7 | 6 | -3 | 22 |
| 11. |
|
18 | 4 | 8 | 6 | -7 | 20 |
| 12. |
|
18 | 4 | 5 | 9 | -8 | 17 |
| 13. |
|
18 | 3 | 7 | 8 | -8 | 16 |
| 14. |
|
17 | 4 | 4 | 9 | -14 | 16 |
| 15. |
|
18 | 3 | 4 | 11 | -13 | 13 |
| 16. |
|
18 | 2 | 2 | 14 | -22 | 8 |
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026 ina jumla ya timu 16 ambapo kati ya hizo, timu inayoshikilia nafasi ya 1 na ya 2 zitashiriki CAF Champions League na timu inayoshikilia nafasi ya 3 itashiriki CAF Confederation Cup.
Katika msimamo wa ligi kuu bara, "Relegation" na "Relegation Play-Off" zinahusiana na kushushwa daraja (au kuepuka kushushwa daraja) kwa timu zilizopo mwishoni mwa msimamo wa ligi. Hizi maana yake ni:
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Bara 2025/2026 ilianza 17/9/2025, 16:00:00 kwa mechi ya ufunguzi kati ya KMC na Dodoma Jiji iliyoisha kwa matokeo ya 1:0
Timu mbili vinara wa mara kwa mara kwa ligi kuu Tanzania Bara ni Young Africans (Yanga SC) na Simba SC
Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.
Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.
Betway
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya Betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%
Jiunge Sasa
Bure!
Tabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka kila wiki na ushinde dau nono la hadi milioni 10
Jiunge Sasa
GSB
Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Jisajili leo na upate bonasi yako!
Jiunge Sasa
5,000 Bure
Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino
Jiunge Sasa
LEON
Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku
Jiunge Sasa