Mkeka wa GG (BTTS) - Ijumaa, 05 Des 2025

Karibu kwenye mkusanyiko wa tabiri bora za GG Tips kwa mashabiki wa betting Tanzania! Hapa tunakuletea utabiri wa Both Teams to Score (BTTS) kwa siku ya Ijumaa, 05/12/2025. Kwa siku ya leo, tumekuletea jumla ya mechi 17 za GG, zikiwa zimechambuliwa kwa umakini na kwa kutumia data na takwimu sahihi.

Utabiri wa GG (Both Teams to Score) unamaanisha timu zote mbili zina nafasi kubwa ya kufunga goli angalau moja kila moja ndani ya mechi. Ni aina ya kubashiri inayopendwa sana kwa sababu inatoa odds nzuri na matokeo ya kuvutia, hasa kwenye ligi kubwa barani Ulaya na Afrika.

  • GG (Yes): Timu zote mbili kufunga goli angalau moja
  • NG (No Goal): Timu moja au zote mbili hazitafunga
BetWay - Bet Influencer Offer Tanzania
#BetwayBalozi NI RAHISI! Weka mkeka, share code na wana kisha upate asilimia 4% kwa kila dau watakaloweka bila kujalisha matokeo ya mkeka 🔥🤑
Jiunge Sasa!


Mkeka wa GG - Tips za Leo

Ijumaa 05 Des 2025
13:45
Australia A-League
Perth Glory
Western Sydney Wanderers
GG - Yes
-:-
15:30
Egypt Second League
El Seka El Hadid
Proxy
NG
-:-
16:00
Israel Liga Leumit
Kiryat Yam SC
Bnei Yehuda
GG - Yes
-:-
16:00
Israel Liga Leumit
Hapoel Kfar Saba
Hapoel Hadera
GG - Yes
-:-
20:00
Austria 2. Liga
Rapid Wien II
Schwarz-Weiß Bregenz
GG - Yes
-:-
20:00
Poland I Liga
GKS Tychy
Polonia Warsaw
GG - Yes
-:-
20:30
Germany Bundesliga II
SC Preussen Munster
Hannover 96
GG - Yes
-:-
21:00
Germany Regionalliga - West
SSVg Velbert
Sportfreunde Lotte
GG - Yes
-:-
21:00
France Ligue 1
Brest
Monaco
GG - Yes
-:-
21:00
Denmark Superligaen
FC Fredericia
Odense BK
GG - Yes
-:-
21:30
Germany Regionalliga - West
Fortuna Düsseldorf II
Borussia Mgladbach II
GG - Yes
-:-
22:00
France Ligue 2
SC Bastia
Red Star FC 93
NG
-:-
22:00
Netherlands Eredivisie
Excelsior
FC Groningen
GG - Yes
-:-
22:00
Netherlands Eerste Divisie
FC Eindhoven
PSV Reserves
GG - Yes
-:-
22:00
Belgium First Division B
Olympic Charleroi
Patro Eisden Maasmechelen
GG - Yes
-:-
22:15
Switzerland Challenge League
FC Vaduz
Neuchatel Xamax FC
GG - Yes
-:-
23:00
Spain La Liga
Real Oviedo
Mallorca
NG
-:-
Kampuni
BETWAY
Total Odds
1648.93
Bonus
400%
* Pata Tsh. 2,000 BURE! Kwa Kujisajili Leo

🎯 VIP MIKEKA

🔥 Furahia Ushindi wa Kipekee! Jiunge na VIP MIKEKA na upokee mikeka ya uhakika kila siku. 🚀 Tunakuletea Fixed Matches na VIP Tips zisizopungua 10 kwa siku! 🔐 Pata faida kubwa kwa kutumia utabiri wetu wa kitaalamu.

PATA VIP TIPS SASA!



FREE BET
Freebet Betway Tsh. 20,000
Freebet ya
Tsh. 20,000/=
ukijisajili na kubet na Betway leo!
*vigezo na masharti kuzingatiwa.

Maana ya GG (Both Teams to Score) kwenye Betting

GG au Both Teams to Score (BTTS) ni aina ya ubashiri ambapo unatabiri kama timu zote mbili zitafunga angalau goli moja kila moja ndani ya dakika 90. Ni chaguo maarufu sana kwenye betting kwa sababu hakilengi mshindi wa mechi, bali matokeo ya magoli. Hii inakupa nafasi ya kushinda hata kama haujui nani ataibuka kidedea.

Machaguo ya GG (BTTS):

  • GG (Yes) – Timu zote mbili zitafunga. Mfano: Simba SC vs Yanga SC. Ukiweka GG, mkeka wako utatiki iwapo wote Simba na Yanga watapachika angalau bao moja moja. Hii ni bet nzuri sana kwa mechi za watani wa jadi au timu zinazoshambulia sana.
  • NG (No Goal) – Timu moja au zote mbili hazitafunga. Mfano: Ihefu FC vs Mtibwa Sugar. Ukiweka NG, mkeka wako unashinda iwapo mchezo utaisha kwa matokeo ya 0-0 au timu moja pekee ndiyo itakayofunga. Chaguo hili linafaa sana kwenye mechi za kulinda zaidi au zenye historia ya magoli machache.

Ligi Bora za Kubetia Both Teams to Score (GG/BTTS)

Ligi zinazojulikana kwa GG (Yes):

  1. Bundesliga ya Ujerumani
  2. Eredivisie ya Uholanzi
  3. Swiss Super League
  4. MLS ya Marekani
  5. Serie A ya Italia
  6. Championship ya England
  7. Belgium Pro League

Ligi hizi mara nyingi huwa na timu zinazoshambulia zaidi kuliko kulinda, na matokeo yake ni magoli mengi kutoka pande zote.

Ligi zinazojulikana kwa NG (No Goal):

  1. Brazil Serie B
  2. Algeria Ligue 1
  3. France Ligue 2
  4. Italy Serie B
  5. Uruguay Primera Division

Hizi ni ligi ambazo mara nyingi zina mechi zenye mashindano makali lakini magoli machache, ambapo mara nyingi timu moja hukosa kabisa kufunga.

Ushauri muhimu: Kila mara hakikisha unachunguza takwimu za mechi zilizopita, uwezo wa washambuliaji na uimara wa mabeki, pamoja na habari za majeruhi au mabadiliko ya kikosi. Kubetia GG (Yes) au NG (No Goal) kunahitaji uchambuzi wa kina na uvumilivu. Kumbuka, betting ni uwekezaji... usiweke hisia, tumia takwimu.



BetWay - Shinda zawadi na mnyama Simba

Kombora la Simba

Ibuka mshindi kila siku ukiwa na Betway na Simba
Shinda Jezi mpya na Tickets za bure mechi za Simba kwa kucheza casino mpya ya Simba Spin na Kombora la Simba.




Mr. Paul P.K - Mkeka wa Leo
Mr. Paul P.K

Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.

Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.


Mikeka ya Leo na Makala

Bonasi na Ofa

Betway - Bet kuanzia Tsh. 100

Bet Kuanzia Tsh. 100

Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

GSB Ofa - Beti Jackpot Bure

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!

Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Gal Sport Betting Ofa - 100% ofa ya ukaribisho

Ofa ya Ukaribisho 100%

Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

Leonbet Ofa - 5,000 BURE

5,000 BURE! Ofa ya App

Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Leonbet Ofa - Rudishiwa 10%

Rudishiwa 10% Kila Siku

Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!