- Mbinu za Kushinda Betting
- Mbinu #1: Fuata utabiri wa wataalamu
- Utabiri wa Mechi za Leo
- Mbinu #2: Bet kwenye options / machaguo ya siri
- Machaguo ya siri yenye nafasi kubwa ya ushindi
- Mbinu #3: Usibet mkeka wenye mechi nyingi
- Mbinu #4: Punguza tamaa na usishawishike na odds kubwa
- Mbinu #5: Ukipoteza mkeka mmoja usikimbilie kuweka mwingine
- Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
- Mbinu gani ni bora za kushinda betting?
- Je, ni mechi ngapi ninazopaswa kubeti kwa mkeka mmoja?
- Kwa nini si vyema kubet kwa hasira mara baada ya kupoteza mkeka?
- Machaguo gani yana nafasi kubwa ya ushindi?
Mbinu za Kushinda Betting
Je, umekuwa ukipoteza mara kwa mara kwenye betting na hujui ufanye nini? Inauma pale kila mara unapobeti mkeka unachanika hadi unahisi kukata tamaa.
Siku ya leo nimekuandalia mbinu za kushinda betting na mikeka zitakazokusaidia kusahau vipigo vya kila mara kutoka kwenye kampuni za betting.
Mbinu #1: Fuata utabiri wa wataalamu
Moja ya mbinu nzuri za kushinda mikeka na betting mara kwa mara ni kufuatana na tabiri za wataalamu wa kubet. Mojawapo ya sehemu za kuanzia ni site yetu www.mkekawaleo.com/mkeka. Hapa tunaandaa mikeka na free betting tips za kila siku.
Mikeka yetu ina asilimia kubwa ya ushindi wa zaidi ya 88%. Wengi wanaofuata mikeka yetu wanashuhudia mafanikio chanya kwa kiasi kikubwa sana.
Utabiri wa Mechi za Leo
Hizi hapa ni tabiri zetu za leo. Kumbuka tabiri hizi zinapatikana kila siku.
- Mega Odds (Acca Tips): Hii ni aina ya mikeka yetu yenye machaguo mchanganyiko ya bet. Hapa tunashare machaguo mbalimbali ndani ya mkeka mmoja kama direct win, double chance, over/under, both teams to score na kadhalika.
- Mikeka ya Over 1.5: Hapa tunapakia mikeka kila siku bure ya Over 1.5 Full Time. Mikeka hii ina nafasi ya ushindi wa hadi 90% na imeonesha uelekeo mzuri sana kwa wafuasi wetu. Usikose kuungana na wenzako katika mikeka hii.
- Mikeka ya Over 0.5 First Half: Mikeka ya idadi ya magoli kwa kipindi cha kwanza ambapo tunachambua na kutabiri idadi ya mabao kuwa angalau 1 katika kipindi cha kwanza cha mchezo.
- Betslip ya Siku (VIP): Hii ni mikeka ya mechi tatu kila siku za uhakika. Mikeka hii imeonesha matokeo ya zaidi ya 95% kwa wafuasi wetu.
Mbinu #2: Bet kwenye options / machaguo ya siri
Najua unashangaa, yapi ni machaguo au betting options za siri?
Machaguo ya siri ni yale machaguo ambayo kampuni zimeyaweka chini kabisa na kwa siri sana ambapo hutaweza kusikia wakiyapromote kwenye matangazo yao. Haya machaguo huwa na nafasi kubwa sana za ushindi ukilinganisha na machaguo mengine ya kawaida kama direct win, double chance na over/under.
Machaguo ya siri yenye nafasi kubwa ya ushindi
1st Half Multigoals: 1 - 2. Hapa tunatabiri lifungwe goli moja au mawili kipindi cha kwanza. Yakizidi mawili tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza: 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0:2. Badala ya kubet over 0.5 kipindi cha kwanza yenye odds chache, unaweza kutabiri range ya magoli kipindi cha kwanza ili kuboost odds zako. Kikawaida options za multigoals kipindi cha kwanza huwa zina odds kuanzia 1.5 na kuendelea huku over 0.5 ikiwa na odds chini ya 1.36.
Total Goals Ranges: 2 - 4. Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne. Mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Badala ya kubet over 1.5 yenye odds chache, unaweza kubet range ya magoli na kupata odds kubwa kuanzia 1.6 na kuendelea.
First 10 minutes Draw (X). Hapa tunatabiri dakika 10 za mwanzo za mchezo watatoka droo au hawatafungana. Zaidi ya 80% ya michezo yote ya mpira wa miguu duniani dakika 10 za mwanzo huwa hawafungani au kunakuwa hakuna goli kabisa. Kuna kampuni zenye chaguo la First 10 minutes na First 15 minutes.
Mbinu #3: Usibet mkeka wenye mechi nyingi
Usibet mkeka wenye mechi nyingi. Bet kuanzia mechi 3 hadi 5 mwisho.
Moja ya changamoto kubwa inayowakumba wabetiji wengi ni tamaa. Katika beti hutakiwi kuendekeza tamaa. Vunja tamaa yako kwa kubeti mechi chache zenye dau kubwa.
Mfano, unatakiwa kubeti mechi 3 mpaka 5 zenye jumla ya odds zisizozidi 10 na kuweka dau kubwa la angalau Tsh. 10,000 au zaidi. Kwa kufanya hivi unakuwa umepunguza hatari kubwa ya kupoteza bet yako.
Mbinu #4: Punguza tamaa na usishawishike na odds kubwa
Ndiyo! Narudia tena, tamaa sio nzuri. Usishawishike na odds kubwa na usikimbilie machaguo magumu yenye odds kubwa za mtego.
Chagua mechi yenye odds kuanzia 1.3 na isizidi 1.8. Pia tumia mbinu ya kuchanganya machaguo rahisi ili kuongeza ukubwa wa odds. Mfano, unaweza kutumia mbinu ya 1X2 & Over 1.5 au DC & Over 2.5.
Mbinu #5: Ukipoteza mkeka mmoja usikimbilie kuweka mwingine
Kitu kingine kibaya ni kujaribu kurudisha hasara kwa kubet kwa hasira baada ya kupoteza mikeka ya nyuma. Tafadhali usifanye hivi, maana kwa kufanya hivi utajikuta unapoteza zaidi na zaidi hadi kufikia hatua ya kukata tamaa.
Pia, kwa takwimu na mbinu zaidi za wataalamu wa betting unaweza tembelea tovuti ya Sporty Trader | Expert Tips kwa Kingereza.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Mbinu gani ni bora za kushinda betting?
Mbinu bora ni pamoja na kufuata utabiri wa wataalamu kama mkekawaleo.com, kubet machaguo ya siri kama 1st Half Multigoals, DC & Total na Goal Ranges, kupunguza tamaa na kuepuka odds kubwa za mtego.
Je, ni mechi ngapi ninazopaswa kubeti kwa mkeka mmoja?
Ni vyema kubeti kati ya mechi 3 hadi 5 kwa mkeka mmoja. Jumla ya odds zisizozidi 10 na kuweka dau kubwa, kama Tsh. 10,000 au zaidi, inasaidia kupunguza hatari ya kupoteza.
Kwa nini si vyema kubet kwa hasira mara baada ya kupoteza mkeka?
Baada ya kupoteza mkeka, ni muhimu kuepuka kuweka mikeka mingine kwa hasira. Hii inaweza kuongeza hasara. Chukua muda wa kutathmini kabla ya kuweka mkeka mpya.
Machaguo gani yana nafasi kubwa ya ushindi?
Machaguo yenye nafasi kubwa ya ushindi lakini pia odds kubwa ni pamoja na 1st Half Multigoals: 1-2, 1st Half Under 1.5 Goals, FT DC & Total Goals Over 1.5, Total Goals Ranges: 2-4, na First 10 minutes Draw (X).