Mkeka wa Leo | Over 2.5 Tips

Pata mikeka ya leo ya Over 2.5 (Juu ya 2.5). Over 2.5 Goals au Juu ya Mabao 2.5 ni miongoni mwa mikeka pendwa ya Over/Under (juu/chini ya magoli). Mikeka hii imechambuliwa na kuandaliwa kwa umakini na timu ya Mkeka wa Leo ikiwa na zaidi ya 85% za ushindi.

Cheza Aviator Betway Tanzania | Ushindi Kila Dakika
Cheza Aviator sasa na Betway Tanzania. Samsung 24 kushindaniwa kila wiki!
« Juzi
Jana
⁕ Leo ⁕
Kesho »

⭐⭐⭐ Over 2.5 Tips | Leo ⭐⭐⭐ Jumanne: 05/11/2024

Time Matches Tips
ENG
Wigan Athletic U21
Sheff Wed U21
Over 2.5
ENG
Sheffield Utd U21
Hull City U21
Over 2.5
ENG
Barnsley U21
Birmingham City U21
Over 2.5
ENG
Wingate & Finchley
Carshalton Athleti
Over 2.5
ENG
Hendon
Dulwich Hamlet
Over 2.5
UCL
Sporting CP
Manchester City
Over 2.5
UCL
Liverpool
Bayer Leverkusen
Over 2.5
UCL
Real Madrid
AC Milan
Over 2.5
UCL
Dortmund
Sturm Graz
Over 2.5
BetWay Tanzania
Bonus ya 100% kwa mteja mpya!
Bonus ya hadi 700% kwenye mkeka wako
Bilionea Jackpot. Bilioni 5 kwa BUKU TU!
Aviator Ofa. Bashiri za bure kila siku!



Freebet Betway Tsh. 20,000
Freebet ya Tsh. 20,000/= ukijisajili na kubet na Betway leo!

Maana ya Under/Over 2.5

Over 2.5: Over 2.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli matatu au zaidi kupatikana kwenye match husika. Matokeo haya ni ushindi 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 3:2, 3:3, 4:0, 4:1, 4:2, 4:3, 4:4, 1:2, 0:3, 1:3, 2:3, 0:4, 1:4, 2:4, 3:4, n.k

Under 2.5: Under 2.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match husika yawe chini ya matatu, tofauti na hapo tumepoteza. Matokeo haya ni ushindi 0:0, 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0:2



Ligi Bora/Nzuri za Kubetia Under/Over 2.5 Goals

Zipo ligi nyingi na bora za soka za kubashiri Under/Over 2.5 Goals (Chini/Juu ya mabao 2.5). Baadhi zinaweza kutofautiana na kutegemeana na mambo kadha wa kadha kama vile utendaji wa timu (team performance), namna ya uchezaji, na ushindani wake kwa ujumla. Hata hivyo, kuna baadhi ya ligi ambazo ni mashuhuri na hufahamika kwa mechi zenye mabao mengi mara kwa mara zaidi kuliko zingine. Ligi hizo ni kama vile:

  1. Verbandsliga ya Ujerumani
  2. Premier League 2 ya England
  3. Development League 2 ya England
  4. Kolmonen ya Finland
  5. Northern Premier League ya England
  6. USL League Two ya Marekani
  7. Highland League ya Scotland
  8. 1st Division ya Hong Kong
  9. Championship North ya Wales
  10. Liga Bet North ya Israel

Ligi hizi mara nyingi huwa na sifa ya mechi zenye mabao mengi. Mbinu nyingine ya kuzitambua ligi zenye mabao mengi au ligi bora kwa Over 2.5 ni kwa kuangalia ligi zenye timu zilizodumaa sana kwenye ulinzi na kuruhusu mabao mengi au zile zenye falsafa ya kushambulia zaidi mara nyingi kama ligi za Ujerumani na huona mabao mengi yakifungwa.

Pia, kuna baadhi ya ligi nzuri/bora za kubetia Under 2.5 Goals (Chini ya Mabao 2.5). Ligi hizi ni zile mashuhuri na mbovu katika ufungaji au zile timu zenye ushindani mkubwa zikiwa na mabeki pamoja na walindaji bora. Hizi hapa Ligi 5 zenye tabia ya kutoa Under 2.5 mara kwa mara:

  1. Brazil Serie B
  2. Uruguay Primera
  3. Algeria Ligue 1
  4. France Ligue 2
  5. Italy Serie B

Kwa kumalizia. Ni muhimu kufanya utafiti na uchambuzi wa kina, kuchambua takwimu za mechi za hivi karibuni, kuzingatia mikakati ya timu, na kufuatilia habari au habari zozote muhimu ambazo zinaweza kuathiri mchezo. Ni busara pia kubet au kufanya uwekezaji wako kwa tahadhari na kusimamia mipango ya ubashiri wako. Usiweke hisia na jifunze kungoja kesho kama siku ya leo haitakuwa nzuri.