Wachezaji Wanaongoza kwa Asisti NBC 2025/26

Updated on: Wednesday, December 10, 2025 at 02:05 PM

Wachezaji Wanaongoza kwa Asisti NBC 2025/26

Hadi kufikia sasa, wachezaji 30 walio na idadi kubwa ya asisti ni hawa wafuatao:

# Mchezaji Timu Utaifa Asisti
1. Andrew Raymond Chamungu Namungo Tanzania 3
2. Elie Mpanzu Simba DR Congo 3
3. Duke Abuya Young Africans Kenya 3
4. Ibrahim Imoro Mtibwa Sugar Ghana 2
5. Mathew Tegisi Pamba Jiji Kenya 2
6. Pacome Zouzoua Young Africans Ivory Coast 2
7. Abdi Banda Dodoma Jiji Tanzania 2
8. Nassor Saadun Azam Tanzania 2
9. Hassan Kibailo Pamba Jiji Tanzania 2
10. Anuar Kilemile JKT Tanzania Tanzania 1
11. Hassan Wahabi JKT Tanzania Tanzania 1
12. Baraka Mtuwi Mashujaa Tanzania 1
13. Feisal Salum Azam Tanzania 1
14. Maxi Nzengeli Young Africans DR Congo 1
15. Joshua Mutale Simba Zambia 1
16. Najim Mussa Pamba Jiji Tanzania 1
17. Abdul Suleiman Azam Tanzania 1
18. Horso Muaku Singida BS DR Congo 1
19. Baraka Mwangosi Mbeya City Tanzania 1
20. Eliud Ambokile Mbeya City Tanzania 1
21. Athuman Makambo Coastal Union Tanzania 1
22. Baraket Hmidi Azam Tunisia 1
23. Cyprian Kipenye Namungo Tanzania 1
24. Jean Ahoua Simba Ivory Coast 1
25. Mohamed Bakari JKT Tanzania Tanzania 1
26. Rashid Chambo KMC Tanzania 1
27. Ismail Aziz Fountain Gate Tanzania 1
28. Steven Mukwala Simba Uganda 1
29. Herbert Lukindo Namungo Tanzania 1
30. ECUA CELESTIN Young Africans Ivory Coast 1

Orodha hii inasasishwa mara kwa mara kulingana na mechi za kila wiki.

Ona pia





Mr. Paul P.K - Mkeka wa Leo
Mr. Paul P.K

Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.

Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.


Mikeka ya Leo na Makala