Ligi kuu Bara
2026/2027 Ligi kuu Bara

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2026/2027

Fuatilia mbio za ubingwa, timu zinazopigania nafasi za juu, na zile zinazotafuta kujinasua mkiani mwa jedwali katika msimu wa 2026/2027.

Imesasishwa Jumapili, 16 Agosti 2026, 03:00 Regular Season - 2 Takwimu za msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara
16 Timu
240 Mechi
30 Hatua
Jedwali la Msimamo

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2026/2027

Fuatilia nafasi za kila timu, mwenendo wa mechi, tofauti ya mabao na pointi zinazoamua mwelekeo wa ubingwa na kushuka daraja.

Timu 16
# Timu MP W D L GD Pts
1
Singida Black Stars Singida Black Stars
1 1 0 0 3 3
2
Young Africans Young Africans
1 1 0 0 2 3
3
Simba Simba
1 1 0 0 2 3
4
Geita Gold Geita Gold
1 1 0 0 1 3
5
Mashujaa Mashujaa
1 1 0 0 1 3
6
Azam Azam
1 0 1 0 0 1
7
Polisi Tanzania Polisi Tanzania
1 0 1 0 0 1
8
JKT Tanzania JKT Tanzania
1 0 1 0 0 1
9
Pamba Jiji Pamba Jiji
1 0 1 0 0 1
10
Dodoma Jiji Dodoma Jiji
1 0 1 0 0 1
11
Tabora United Tabora United
1 0 1 0 0 1
12
Mbeya City Mbeya City
1 0 0 1 -1 0
13
Coastal Union Coastal Union
1 0 0 1 -1 0
14
Namungo Namungo
1 0 0 1 -2 0
15
Kagera Sugar Kagera Sugar
1 0 0 1 -2 0
16
Fountain Gate Fountain Gate
1 0 0 1 -3 0
CAF Champions League CAF Confederation Cup Relegation Play-Off Relegation
Muhtasari wa ligi

Msimu wa NBC 2026/27 kwa ufupi


Maswali Yalioulizwa Mara kwa Mara

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2026/2027 ina jumla ya timu 16 ambapo kati ya hizo, timu inayoshikilia nafasi ya 1 na ya 2 zitashiriki CAF Champions League na timu inayoshikilia nafasi ya 3 itashiriki CAF Confederation Cup.

Katika msimamo wa ligi kuu bara, "Relegation" na "Relegation Play-Off" zinahusiana na kushushwa daraja (au kuepuka kushushwa daraja) kwa timu zilizopo mwishoni mwa msimamo wa ligi. Hizi maana yake ni:

Relegation

  • Hii inahusu timu mbili zinazoshika nafasi ya chini kabisa kwenye msimamo wa ligi kuu bara kufuatia mwisho wa msimu.
  • Timu hizi hushushwa kutoka ligi kuu kwenda ligi daraja la pili (NBC Championship)
  • Idadi ya timu zinazoshushwa mara nyingi kwa ligi kuu bara huwa ni timu mbili za mwisho.

Relegation Playoff (Mchujo wa Kushushwa Daraja)

  • Katika Ligi Kuu, timu zinazoingia kwenye "Relegation Playoff" mara nyingi ni zile zinazokaribia kushushwa daraja, lakini bado zinapewa nafasi ya mwisho kujinusuru.
  • Kwa msimu wa 2026/2027 timu zitakazo kuwa kwenye "Relegation Playoff" ni timu zitakazo shikilia nafasi ya 13 na 14
  • Hizi timu hushindana dhidi ya timu zinazotaka kupanda daraja kutoka ligi daraja la pili

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Bara 2026/2027 ilianza 14/8/2026, 14:00:00 kwa mechi ya ufunguzi kati ya Pamba Jiji na Dodoma Jiji iliyoisha kwa matokeo ya 1:1

Timu mbili vinara wa mara kwa mara kwa ligi kuu Tanzania Bara ni Young Africans (Yanga SC) na Simba SC

Mataji ya ligi kuu:

  • Young Africans inaongoza kwa mataji (makombe) ya ligi kuu Tanzania ikiwa na jumla ya mataji 31 hadi kufikia mwisho wa msimu wa 2024/2025
  • Inafuatiwa na Simba SC yenye jumla ya mataji 22 ya ligi kuu hadi kufikia mwisho wa msimu wa 2024/2025

Mr. Paul P.K - Mkeka wa Leo
Mr. Paul P.K

Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.

Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.


Mikeka ya Leo na Makala

Bonasi na Ofa

Betway - Bet kuanzia Tsh. 100 Betway

Bet Kuanzia Tsh. 100

Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya Betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

Jiunge Sasa
GSB Ofa - Beti Jackpot Bure Bure!

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!

Tabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka kila wiki na ushinde dau nono la hadi milioni 10

Jiunge Sasa
Gal Sport Betting Ofa - 100% ofa ya ukaribisho GSB

Ofa ya Ukaribisho 100%

Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Jisajili leo na upate bonasi yako!

Jiunge Sasa
Leonbet Ofa - 5,000 BURE 5,000 Bure

5,000 BURE! Ofa ya App

Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino

Jiunge Sasa
Leonbet Ofa - Rudishiwa 10% LEON

Rudishiwa 10% Kila Siku

Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku

Jiunge Sasa