Watoa Assist Bora La Liga 2025/2026 - Vinara wa Assist Ligi Kuu ya Uhispania

Updated on: Saturday, October 18, 2025 at 03:00 AM

Hadi sasa, Luis Milla wa Getafe na Vinícius Júnior wa Real Madrid wanaongoza kwa utoaji assist La Liga msimu huu.

# Mchezaji Timu Asisti Michezo
1. Luis Milla Getafe 5 8
2. Vinícius Júnior Real Madrid 4 8
3. R. Vargas Sevilla 4 7
4. A. Güler Real Madrid 3 8
5. Lamine Yamal Barcelona 3 4
6. M. Rashford Barcelona 3 8
7. Barrenetxea Real Sociedad 3 8
8. Carles Aleñá Alaves 3 8
9. Luis Rioja Valencia 3 8
10. F. Valverde Real Madrid 3 8
11. Kylian Mbappé Real Madrid 2 8
12. Raphinha Barcelona 2 6
13. Pablo Fornals Real Betis 2 8
14. Roberto Fernández Espanyol 2 9
15. Dani Olmo Barcelona 2 8
16. G. Simeone Atletico Madrid 2 8
17. J. Toljan Levante 2 8
18. G. Lo Celso Real Betis 2 7
19. José Ángel Carmona Sevilla 2 7
20. Javi Rueda Celta Vigo 2 6

Orodha hii inasasishwa mara kwa mara kulingana na mechi za kila wiki.

Ona pia





Mr. Paul P.K - Mkeka wa Leo
Mr. Paul P.K

Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.

Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.


Mikeka ya Leo na Makala