Mkeka wa Over 0.5 Halftime - 24 Okt 2025

Pata Mikeka ya Kesho Over 0.5 HT (Halftime). Hii ni aina ya bashiri ya kila siku ambapo tunatabiri jumla ya mabao katika kipindi cha kwanza cha mechi husika. Lengo ni rahisi: kipindi cha kwanza lazima kimalizike na angalau goli moja ili beti ishinde. Iwapo dakika 45 za kwanza zitaisha bila goli, beti inakuwa imepotea.

Mifano ya matokeo ya ushindi: kipindi cha kwanza kikiisha na matokeo kama 1:0, 2:0, 1:1, 2:2, 0:1, 0:2, 3:1, 3:2, n.k.

Kwa siku ya kesho, Ijumaa 24/10/2025 tumekuletea jumla ya tabiri 44 za Over 0.5 magoli kipindi cha kwanza, zikiwa zimechambuliwa kwa umakini na kwa kutumia data na takwimu sahihi.

BetWay - Bet Influencer Offer Tanzania
#BetwayBalozi NI RAHISI! Weka mkeka, share code na wana kisha upate asilimia 4% kwa kila dau watakaloweka bila kujalisha matokeo ya mkeka 🔥🤑
Jiunge Sasa!

Mkeka wa Over 0.5 Halftime - Kesho

Ijumaa 24 Okt 2025
14:00
Poland III Liga - Group 3
Goczałkowice Zdrój
Kluczbork
Over 0.5 HT
-:-
14:35
China Super League
Meizhou Hakka
Yunnan Yukun
Over 0.5 HT
-:-
14:35
China Super League
Wuhan Three Towns
Shenzhen Xinpengcheng
Over 0.5 HT
-:-
15:00
Thailand Thai League 1
Port FC
Muangthong United
Over 0.5 HT
-:-
15:30
Ukraine Premier League
Oleksandria
Epitsentr Dunayivtsi
Over 0.5 HT
-:-
16:00
Poland III Liga - Group 3
Miedź Legnica II
Górnik Zabrze II
Over 0.5 HT
-:-
16:00
Poland III Liga - Group 3
Ślęza Wrocław
SKRA Częstochowa
Over 0.5 HT
-:-
16:00
Poland II Liga - East
Świt Skolwin
ŁKS Łódź II
Over 0.5 HT
-:-
16:00
Israel Liga Leumit
Hapoel Nazareth Illit
Hapoel Acre
Over 0.5 HT
-:-
17:45
Saudi Arabia Pro League
Al Fateh SC
Al Ittifaq Dammam
Over 0.5 HT
-:-
18:00
Ukraine Premier League
Veres Rivne
Zorya Luhansk
Over 0.5 HT
-:-
18:00
Lithuania 1 Lyga
Be1 NFA
Panevėžys II
Over 0.5 HT
-:-
18:30
Saudi Arabia Pro League
Neom SC
Al Khaleej Saihat
Over 0.5 HT
-:-
18:30
Slovenia 1. SNL
Aluminij
Bravo
Over 0.5 HT
-:-
18:30
Serbia Super Liga
FK Partizan
Mladost Lucani
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Austria 2. Liga
FC Liefering
SKN ST. Polten
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Austria 2. Liga
Austria Klagenfurt
Sturm Graz II
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Lithuania 1 Lyga
Žalgiris II
Minija
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Czechia 2. Liga
FK Usti nad Labem
Banik Ostrava B
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Czechia 3. liga - MSFL
Hlučín
Zbrojovka Brno II
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Poland II Liga - East
Kalisz
Śląsk Wrocław II
Over 0.5 HT
-:-
19:00
Austria 2. Liga
Schwarz-Weiß Bregenz
SV Kapfenberg
Over 0.5 HT
-:-
19:30
Germany Bundesliga II
Greuther Furth
Karlsruher SC
Over 0.5 HT
-:-
19:30
Germany Bundesliga II
Schalke
Darmstadt
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Sweden Superettan
Orgryte IS
Västerås SK FK
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Türkiye 1 Lig
Sivasspor
Hatayspor
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Türkiye Super Lig
Fatih Karagumruk
Kayserispor
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Poland III Liga - Group 2
Polonia Środa
Noteć Czarnków
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Germany 3. Liga
Wehen SV
Alemannia Aachen
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Denmark Division 1
Kolding IF
Middelfart
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Denmark Division 1
B93 Copenhagen
AC Horsens
Over 0.5 HT
-:-
20:00
Denmark Superligaen
AGF Aarhus
FC Nordsjaelland
Over 0.5 HT
-:-
20:08
Poland III Liga - Group 4
Wisłoka Dębica
Korona Kielce II
Over 0.5 HT
-:-
20:23
Poland III Liga - Group 1
Lechia T. Mazowiecki
Troszyn
Over 0.5 HT
-:-
20:30
Switzerland Challenge League
Stade Nyonnais
Yverdon Sport
Over 0.5 HT
-:-
21:00
Saudi Arabia Pro League
Al Ittihad Jeddah
Al Hilal Riyadh
Over 0.5 HT
-:-
21:00
Slovenia 2. SNL
Tabor Sežana
Brinje-Grosuplje
Over 0.5 HT
-:-
21:00
Netherlands Eredivisie
Heerenveen
NAC
Over 0.5 HT
-:-
21:15
Switzerland Challenge League
FC Aarau
FC WIL 1900
Over 0.5 HT
-:-
21:30
Poland Ekstraklasa
Motor Lublin
Widzew Lodz
Over 0.5 HT
-:-
21:30
Germany Bundesliga I
Werder Bremen
Union Berlin
Over 0.5 HT
-:-
21:45
Republic of Ireland First Division
UCD
Bray Wanderers
Over 0.5 HT
-:-
21:45
Republic of Ireland First Division
Treaty United
Cobh Ramblers
Over 0.5 HT
-:-
21:45
Wales Premier League
llanelli AFC
The New Saints
Over 0.5 HT
-:-
Kampuni
BETWAY
Total Odds
9999.99
Bonus
400%
* Pata Tsh. 2,000 BURE! Kwa Kujisajili Leo


FREE BET
Freebet Betway Tsh. 20,000
Freebet ya
Tsh. 20,000/=
ukijisajili na kubet na Betway leo!
*vigezo na masharti kuzingatiwa.


🎯 VIP MIKEKA

🔥 Furahia Ushindi wa Kipekee! Jiunge na VIP MIKEKA na upokee mikeka ya uhakika kila siku. 🚀 Tunakuletea Fixed Matches na VIP Tips zisizopungua 10 kwa siku! 🔐 Pata faida kubwa kwa kutumia utabiri wetu wa kitaalamu.

PATA VIP TIPS SASA!



Mwongozo | Nini Maana ya Over 0.5 First Half

Katika ulimwengu wa kubashiri michezo, chaguo la kubeti maarufu linalojulikana kama "Over 0.5 First Half" au "Over 0.5 HT" limevutia wakamaria na wabashiri wengi wa mpira wa miguu. Aina hii ya beti inahusisha utabiri wa kuwa angalau goli moja au zaidi litapatikana katika kipindi cha kwanza cha mechi. Beti ya "Over 0.5 First Half" inakuwa na msisimko mkubwa kwa kuwa inahitaji timu mojawapo kufunga tu, hali ambayo mara nyingi huwa rahisi kutokea na kukuweka katika nafasi nzuri ya kushinda beti yako. Hapa tutajadili kwa undani nini maana ya beti hii na jinsi unavyoweza kuitumia vizuri.

Over 0.5 First Half ni Nini? Over 0.5 First Half ni beti inayotabiri angalau goli moja kufungwa katika kipindi cha kwanza cha mechi. Hii inamaanisha kuwa endapo timu yoyote itafunga goli, beti yako itakuwa imeshinda. Ni aina ya kubashiri inayowavutia wengi kutokana na nafasi kubwa za kushinda na hatari ndogo ikilinganishwa na machaguo mengine.

Faida za Kubeti Over 0.5 First Half: Zipo faida kadhaa za kuweka beti yako kwenye chaguo hili la Over 0.5 HT. Kwa wazee wakubeti, faida hizi ni kama ifuatavyo:

  1. Inachangamsha Mchezo: Kwa sababu ni beti ya kipindi cha kwanza tu, inakupa msisimko wa haraka bila kusubiri hadi mwisho wa mechi.
  2. Ina hatari Ndogo: Nafasi za angalau goli moja kufungwa kipindi cha kwanza ni kubwa, hivyo inapunguza hatari ukilinganisha na beti za machaguo mengine.
  3. Inaweza Kuunganishwa: Unaweza kuunganisha na chaguo zingine kwenye accumulator beti zako ili kuongeza odds na nafasi ya kushinda.

Jinsi ya Kutumia Over 0.5 First Half kwa Mafanikio

  1. Tafiti za Kina: Chunguza takwimu za timu kuhusu jinsi wanavyocheza kwenye kipindi cha kwanza, wachezaji muhimu wa mashambulizi, na rekodi ya magoli.
  2. Bajeti Nzuri ya Bashiri: Weka bajeti ya kutumia na usizidishe kikomo chako ulichojiwekea. Kubeti kiasi kidogo kwa chaguo zenye nafasi nzuri kunapunguza hatari ya kupoteza mtaji wako wote.
  3. Fuata Takwimu na Utafiti wa Wataalamu: Mara nyingi wataalamu wa beti huchambua mechi na kutoa vidokezo muhimu. Vidokezo hivi vinaweza kusaidia kufahamu hali ya mechi kabla haijaanza.

Hatari ya Over 0.5 First Half Japo chaguo hili lina hatari ndogo, beti hii si ya uhakika kabisa kwani kuna mechi ambazo zinaweza kumalizika kipindi cha kwanza bila goli lolote. Ni muhimu kuchambua timu na mechi kwa undani ili kupunguza hatari.

Hitimisho Beti ya "Over 0.5 First Half" ni chaguo rahisi na lenye nafasi nzuri kwa wale wanaopendelea matokeo ya haraka na hatari ndogo. Kwa kufuata mwongozo huu, utaweza kuongeza nafasi zako za ushindi kwa kufanya maamuzi yenye uelewa zaidi. Kumbuka kuchambua kwa undani takwimu, kusimamia fedha zako, na kufuata vidokezo vya wataalamu ili kupata matokeo bora.




Ligi Bora/Nzuri za Kubetia Over 0.5 First Half

Ligi bora za soka za kubashiri Over 0.5 HT / zaidi ya mabao 0.5 kipindi cha kwanza zinaweza kutofautiana na pia inategemeana na mambo kadha wa kadha kama vile utendaji wa timu kwa ungwe ya kwanza, namna ya uchezaji, na ushindani kwa ujumla. Hata hivyo, baadhi ya ligi ambazo ni mara nyingi hutoa matokeo kwa kipindi cha kwanza na kuhusisha mechi zenye mabao mengi zaidi kuliko zingine. Ligi hizi ni kama vile:

  • England Premier League 2 na Development League 2 ya Uingereza
  • Wales Championship North na South ya Wales
  • Premier League na Championship za Uingereza
  • Germany Verbandsliga na Regionalliga za Ujerumani
  • Scotland Highland League ya Uskoti
  • Scottish Premiership ya Uskoti
  • Finland Kolmonen ya Finland
  • Belgian Pro League ya Ubelgiji
  • Sweden Dision 1 - Norra ya Uswidi

Ligi hizi mara nyingi huwa na sifa ya mechi zenye mabao mengi kwa kipindi cha kwanza zikifikisha wastani wa mabao mawili au zaidi.

Ni muhimu kufanya utafiti na uchambuzi wa kina, kuchambua takwimu za mechi za hivi karibuni, kuzingatia mikakati ya timu, na kufuatilia habari au habari zozote muhimu ambazo zinaweza kuathiri mchezo. Ni busara pia kufanya uwekezaji kwa tahadhari na kusimamia ubashiri wako kwa uwajibikaji.


Mr. Paul P.K - Mkeka wa Leo
Mr. Paul P.K

Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.

Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.


Mikeka ya Leo na Makala