Leonbet Tanzania 2025 – App, Kujisajili, Promo Code, na Ofa

Company Info
- 🌍 Website: https://leonbet.co.tz/
- 📅 Imeanza Rasmi Tanzania: 2024
- 🎰 Imesajiliwa na: Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania
- 🆔 Leseni ya Michezo ya Kubashiri: SBI000000051
- 🆔 Leseni ya Kasino Mtandao: OCL000000027
- 📱 Mobile Apps: Inapatikana kwa Android, iOS na Mobile Site
Leonbet Tanzania ni tovuti mpya inayojumuisha sportsbook na casino mtandaoni iliyopo kwenye soko la Tanzania tangu 2024, inaendeshwa na Sandstorm Company Limited chini ya udhibiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania na leseni ya kimataifa ya Curacao.
Watumiaji wanapata odds nzuri kwa ligi za kimataifa kama Champions League pamoja na ligi za ndani, na pia casino tajiri yenye michezo ya slots, crash games kama Aviator & Jet X, na live dealer kwa blackjack, roulette, baccarat.
Msaada kwa wateja ni 24/7 na wa haraka kupitia chat, kwa Kiswahili na Kiingereza
Faida na Hasara
✅ Faida
- Huduma kamili – sportsbook + casino + crash games: Leonbet inakupa uzoefu wa “all-in-one” ambapo unaweza kubashiri michezo ya ndani na kimataifa, kucheza slots, live casino, na crash games maarufu kama Aviator na JetX kwa akaunti moja tu.
- Odds zenye ushindani wa juu: Wana odds bora kuliko wastani wa soko kwa ligi kubwa kama Champions League, Premier League, na pia kwa ligi za ndani kama Ligi Kuu Tanzania Bara.
- App na Mobile site rahisi kutumia: Uwe Android, iOS au unatumia browser tu, Leonbet imeboreshwa mobile-first, na interface ya kisasa inayobeba live updates papo hapo.
- Machaguo mengi ya malipo: Inakubali M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa, na hata cryptocurrencies kama Bitcoin, Toncoin na Polkadot – yote na processing ya haraka bila usumbufu.
- Bonuses na promosheni kubwa: Kuanzia welcome bonus ya 100% hadi reload offers mara tatu, pamoja na multibet boost na cashback promotions kwa wateja wa mara kwa mara.
- Huduma kwa wateja ya kuaminika: Live chat inapatikana masaa 24/7 kwa Kiswahili na Kiingereza, pamoja na support ya email na FAQ section iliyoeleweka.
- Usalama na uaminifu: Leonbet imepewa leseni na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania pamoja na Curacao, kwa hiyo unaweza kubashiri ukiwa na amani ya akili.
❌ Hasara
- Ni mchezaji mpya sokoni Tanzania: Tofauti na majina ya muda mrefu kama Gal Sport Betting, Meridianbet, Betpawa au SportPesa, Leonbet bado haina reviews nyingi za watanzania na hivyo trust score yake iko chini ukilinganisha na makampuni ya muda mrefu.
- Hakuna maduka ya kubashiri: Leonbet inafanya kazi 100% mtandaoni, kwa hiyo wateja wanaopendelea kwenda betting shops hawatapata maduka ya kubetia kama zilivyo Gal Sport Betting au PremierBet.
Machaguo ya Kubashiri
Leonbet inakupa ukweli mzuri: ubashiri kwenye soka, mpira wa kikapu, tenisi, e-sports, virtual sports, hata MotoGP. Unaweza pia kushinda kwa crash games (kama Aviator & Jet X), pamoja na casino games kama live dealer, slots, poker, roulette, blackjack.

Malipo – Deposits & Withdrawals
Leonbet Tanzania inatoa njia nyingi za kulipia ambazo ni salama, rahisi, na haraka, zikifaa kwa wateja wote wa mtandaoni:
- M-Pesa: Rahisi na papo hapo, deposits na withdrawals ndani ya dakika chache.
- Airtel Money: Haraka na salama, inapatikana kwa watumiaji wote wa Airtel Tanzania.
- Tigo Pesa / Halopesa: Njia nyingine za simu wallet zinazosaidia wateja wanaotumia mitandao tofauti.
- Cryptocurrency: Bitcoin, Toncoin, Polkadot, na zingine, withdrawals kawaida zinapatikana ndani ya 1–2 saa, zikitoa uhuru kwa wateja wa crypto.
Depositi ni papo hapo na bila ada, withdrawals haraka sana, hii inafanya Leonbet kuwa chaguo la #1 kwa wateja wanaotaka malipo ya haraka na salama. Njia zote za malipo zina SSL encryption, kuhakikisha data zako zinabaki salama na binafsi. Pia, unapata update za mara kwa mara kwenye transaction zako kupitia SMS au app.
Jinsi ya Kujisajili Leonbet
- Tembelea tovuti rasmi: https://leonbet.co.tz/
- Bonyeza kitufe cha "Jisajili"
- Weka namba yako ya simu na Password
- Kubali una miaka 18+ na kukubaliana na vigezo na masharti
- Thibitisha akaunti kupitia SMS
- Fanya deposit ya kwanza (angalia ofa!) na uanze kubashiri!
App ya Leonbet – Download
- Android: Pakua .apk kutoka tovuti yao rasmi au kupitia Google Play Store
- iOS: Inapatikana kupitia App Store au link ya app kutoka katika tovuti ya Leonbet
- Mobile web app pia ni bora na nyepesi kwa matumizi ya simu na kompyuta
App ya Leonbet inafanya kazi vizuri na inakupa nafasi ya kubadilisha theme dark/light pia inapata masasisho mubashara ya odds, mechi na matokeo.
Promosheni na Ofa
Leonbet inawapa wachezaji wapya promo na ofa hizi za kuvutia:
- 100 % Welcome Bonus hadi 4,000,000 TZS kwa deposit ya kwanza.
- Bima ya Mkeka 100%: Weka mkeka wa kwanza bila wasiwasi, ukipoteza dau linarudishwa hadi 1,000,000 TZS
Hitimisho
Leonbet Tanzania ni chaguo zuri kwa wale wanaopenda kubashiri na kushinda. Inachanganya sportsbook na casino kwa akaunti moja, ikitoa odds za ushindani, malipo haraka na salama kupitia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa (Mixx by Yas), crypto, na njia nyingine. Pia kuna bonuses na promosheni za kuvutia kwa wateja wapya na wa mara kwa mara. Ingawa kuna baadhi ya maeneo yanayoweza kuboreshwa, kama uzoefu wa malipo kwa njia zote, kwa sasa Leonbet inatoa huduma ya kubashiri mtandaoni yenye nguvu na ya kuaminika. Mashallah kwa wapenzi wa betting Tanzania!
Angalia Pia
-
Mega Odds za Leo | Acca Tips
Angalia mega odds za leo. Acca Tips zenye nafasi kubwa ya ushindi le...
-
Mikeka ya Over 1.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 1.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 2.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 2.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 0.5 First Half
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 0.5 kipindi cha kwanza, ligi nzuri na mbinu za kushinda mikeka hii
-
Sure 3 | Betslip ya Siku
Angalia Odds 3 za uhakika leo. Hii hapa betslip ya siku yenye odds za uhakika 3 leo
-
Mikeka ya Over/Under 3.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over/Under 3.5, ligi na mbinu za kushinda mikeka hii
-
Mikeka ya Correct Score
Pata mikeka ya correct score kila siku bure. Mikeka ya uhakika ya correct score leo na kesho
-
Kampuni Bora za Betting Tanzania
Angalia list ya kampuni bora 5 za betting Tanzania kwa mwaka huu...
-
Mbinu za Kushinda Betting
Jifunze mbinu za kushinda betting zako na uondokane na hasara za mara kwa mara
-
Misimamo ya Ligi Kuu
Angalia misimamo ya ligi kuu mbalimbali duniani. Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Ratiba na Matokeo
Bonasi na Ofa

Bet Kuanzia Tsh. 100
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!
Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Ofa ya Ukaribisho 100%
Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

5,000 BURE! Ofa ya App
Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Rudishiwa 10% Kila Siku
Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!