Kufuzu Kombe la Dunia 2026: Msimamo wa Makundi Africa, Ratiba, na Matokeo

Mashindano ya kufuzu kombe la dunia 2026 ya Afrika (CAF World Cup Qualifications) yameanza rasmi 13 Novemba 2023 na kumalizika mnamo Novemba 2025. Huu ni mchakato wa muda mrefu ambao utahusisha hatua kadhaa za makundi pamoja na michezo ya mtoano (Play-off) ili kupata timu bora za kuiwakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani, Canada, na Mexico.

  • Timu tisa kutoka Afrika zitafuzu moja kwa moja kwenda Kombe la Dunia 2026.
  • Timu moja (ya kumi) itaingia katika FIFA Play-off Tournament ya Kimataifa kupigania nafasi ya mwisho.

Msimamo wa Makundi Africa kufuzu Kombe la Dunia 2026

Updated on: Friday, March 28, 2025 at 03:00 AM

Kundi A

# Team MP W D L GD Pts
1. Egypt 6 5 1 0 12 16
2. Burkina Faso 6 3 2 1 6 11
3. Sierra Leone 6 2 2 2 0 8
4. Ethiopia 6 1 3 2 0 6
5. Guinea-Bissau 6 1 3 2 -2 6
6. Djibouti 6 0 1 5 -16 1

Kundi B

# Team MP W D L GD Pts
1. Congo DR 6 4 1 1 5 13
2. Senegal 6 3 3 0 7 12
3. Sudan 6 3 3 0 6 12
4. Togo 6 0 4 2 -3 4
5. South Sudan 6 0 3 3 -8 3
6. Mauritania 6 0 2 4 -7 2

Kundi C

# Team MP W D L GD Pts
1. South Africa 6 4 1 1 5 13
2. Rwanda 6 2 2 2 0 8
3. Benin 6 2 2 2 -1 8
4. Nigeria 6 1 4 1 1 7
5. Lesotho 6 1 3 2 -1 6
6. Zimbabwe 6 0 4 2 -4 4

Kundi D

# Team MP W D L GD Pts
1. Cape Verde Islands 6 4 1 1 2 13
2. Cameroon 6 3 3 0 8 12
3. Libya 6 2 2 2 -1 8
4. Angola 6 1 4 1 0 7
5. Mauritius 6 1 2 3 -4 5
6. Eswatini 6 0 2 4 -5 2

Kundi E (Kundi la Tanzania)

# Team MP W D L GD Pts
1. Morocco 5 5 0 0 12 15
2. Niger 4 2 0 2 2 6
3. Tanzania 4 2 0 2 -2 6
4. Zambia 4 1 0 3 -1 3
5. Congo 3 0 0 3 -11 0
6. Eritrea 0 0 0 0 0 0

Kundi F

# Team MP W D L GD Pts
1. Ivory Coast 6 5 1 0 14 16
2. Gabon 6 5 0 1 6 15
3. Burundi 6 3 1 2 6 10
4. Kenya 6 1 3 2 3 6
5. Gambia 6 1 1 4 -1 4
6. Seychelles 6 0 0 6 -28 0

Kundi G

# Team MP W D L GD Pts
1. Algeria 6 5 0 1 10 15
2. Mozambique 6 4 0 2 -1 12
3. Botswana 6 3 0 3 1 9
4. Uganda 6 3 0 3 -1 9
5. Guinea 6 2 1 3 -1 7
6. Somalia 6 0 1 5 -8 1

Kundi H

# Team MP W D L GD Pts
1. Tunisia 6 5 1 0 9 16
2. Namibia 6 3 3 0 6 12
3. Liberia 6 3 1 2 3 10
4. Equatorial Guinea 6 2 1 3 -4 7
5. Malawi 6 2 0 4 -2 6
6. Sao Tome and Principe 6 0 0 6 -12 0

Kundi I

# Team MP W D L GD Pts
1. Ghana 6 5 0 1 10 15
2. Comoros 6 4 0 2 2 12
3. Madagascar 6 3 1 2 3 10
4. Mali 6 2 3 1 4 9
5. Central African Republic 6 1 2 3 -5 5
6. Chad 6 0 0 6 -14 0

Msimamo wa Timu zilizomaliza nafasi ya pili

# Team MP W D L GD Pts
1. Gabon 6 5 0 1 6 15
2. Cameroon 6 3 3 0 8 12
3. Senegal 6 3 3 0 7 12
4. Namibia 6 3 3 0 6 12
5. Comoros 6 4 0 2 2 12
6. Mozambique 6 4 0 2 -1 12
7. Burkina Faso 6 3 2 1 6 11
8. Rwanda 6 2 2 2 0 8
9. Niger 4 2 0 2 2 6

Matokeo na Ratiba ya CAF World Cup Qualifications

Hatua ya Makundi - 1

Date Match Results
22:00 16/11/2023 Morocco
Eritrea
-
-
16:00 15/11/2023 Rwanda
Zimbabwe
0
0
16:00 15/11/2023 Equatorial Guinea
Namibia
1
0
19:00 15/11/2023 Congo DR
Mauritania
2
0
22:00 15/11/2023 Ethiopia
Sierra Leone
0
0
16:00 16/11/2023 Botswana
Mozambique
2
3
16:00 16/11/2023 Burundi
Gambia
3
2
19:00 16/11/2023 Nigeria
Lesotho
1
1
19:00 16/11/2023 Egypt
Djibouti
6
0
19:00 16/11/2023 Gabon
Kenya
2
1
19:00 16/11/2023 Sudan
Togo
1
1
19:00 16/11/2023 Algeria
Somalia
3
1
22:00 16/11/2023 Cape Verde Islands
Angola
0
0
16:00 17/11/2023 Guinea
Uganda
2
1
16:00 17/11/2023 Comoros
Central African Republic
4
2
16:00 17/11/2023 Eswatini
Libya
0
1
19:00 17/11/2023 Ghana
Madagascar
1
0
19:00 17/11/2023 Zambia
Congo
4
2
19:00 17/11/2023 Liberia
Malawi
0
1
22:00 17/11/2023 Tunisia
Sao Tome and Principe
4
0
22:00 17/11/2023 Mali
Chad
3
1
22:00 17/11/2023 Ivory Coast
Seychelles
9
0
22:00 17/11/2023 Burkina Faso
Guinea-Bissau
1
1
22:00 17/11/2023 Cameroon
Mauritius
3
0
16:00 18/11/2023 South Africa
Benin
2
1
19:00 18/11/2023 Niger
Tanzania
0
1
22:00 18/11/2023 Senegal
South Sudan
4
0

Hatua ya Makundi - 2

Date Match Results
19:00 20/11/2023 Eritrea
Congo
-
-
16:00 19/11/2023 Mozambique
Algeria
0
2
16:00 19/11/2023 Zimbabwe
Nigeria
1
1
16:00 19/11/2023 Burundi
Gabon
1
2
19:00 19/11/2023 Sierra Leone
Egypt
0
2
19:00 19/11/2023 Sudan
Congo DR
1
0
16:00 20/11/2023 Djibouti
Guinea-Bissau
0
1
19:00 20/11/2023 Gambia
Ivory Coast
0
2
19:00 20/11/2023 Liberia
Equatorial Guinea
0
1
22:00 20/11/2023 Mali
Central African Republic
1
1
22:00 20/11/2023 Seychelles
Kenya
0
5
22:00 20/11/2023 Chad
Madagascar
0
3
16:00 21/11/2023 Malawi
Tunisia
0
1
16:00 21/11/2023 Ethiopia
Burkina Faso
0
3
16:00 21/11/2023 Rwanda
South Africa
2
0
16:00 21/11/2023 Lesotho
Benin
0
0
16:00 21/11/2023 Botswana
Guinea
1
0
16:00 21/11/2023 Eswatini
Cape Verde Islands
0
2
16:00 21/11/2023 Somalia
Uganda
0
1
19:00 21/11/2023 Sao Tome and Principe
Namibia
0
2
19:00 21/11/2023 South Sudan
Mauritania
0
0
19:00 21/11/2023 Mauritius
Angola
0
0
19:00 21/11/2023 Comoros
Ghana
1
0
19:00 21/11/2023 Libya
Cameroon
1
1
19:00 21/11/2023 Togo
Senegal
0
0
22:00 21/11/2023 Tanzania
Morocco
0
2
22:00 21/11/2023 Niger
Zambia
2
1

Hatua ya Makundi - 3

Date Match Results
03:00 03/06/2024 Tanzania
Eritrea
-
-
19:00 05/06/2024 Namibia
Liberia
1
1
19:00 05/06/2024 Sierra Leone
Djibouti
2
1
19:00 05/06/2024 Central African Republic
Chad
1
0
19:00 05/06/2024 Togo
South Sudan
1
1
22:00 05/06/2024 Tunisia
Equatorial Guinea
1
0
16:00 06/06/2024 Malawi
Sao Tome and Principe
3
1
19:00 06/06/2024 Mauritania
Sudan
0
2
19:00 06/06/2024 Guinea-Bissau
Ethiopia
0
0
19:00 06/06/2024 Congo
Niger
0
3
19:00 06/06/2024 Libya
Mauritius
2
1
22:00 06/06/2024 Senegal
Congo DR
1
1
22:00 06/06/2024 Egypt
Burkina Faso
2
1
22:00 06/06/2024 Mali
Ghana
1
2
22:00 06/06/2024 Benin
Rwanda
1
0
22:00 06/06/2024 Algeria
Guinea
1
2
16:00 07/06/2024 Kenya
Burundi
1
1
16:00 07/06/2024 Mozambique
Somalia
2
1
16:00 07/06/2024 Zimbabwe
Lesotho
0
2
19:00 07/06/2024 Madagascar
Comoros
2
1
19:00 07/06/2024 Uganda
Botswana
1
0
19:00 07/06/2024 Angola
Eswatini
1
0
22:00 07/06/2024 Nigeria
South Africa
1
1
22:00 07/06/2024 Morocco
Zambia
2
1
22:00 07/06/2024 Ivory Coast
Gabon
1
0
16:00 08/06/2024 Cameroon
Cape Verde Islands
4
1
19:00 08/06/2024 Gambia
Seychelles
5
1

Hatua ya Makundi - 4

Date Match Results
03:00 10/06/2024 Eritrea
Niger
-
-
16:00 09/06/2024 Sao Tome and Principe
Liberia
0
1
19:00 09/06/2024 Mauritania
Senegal
0
1
19:00 09/06/2024 Namibia
Tunisia
0
0
19:00 09/06/2024 Congo DR
Togo
1
0
19:00 09/06/2024 Djibouti
Ethiopia
1
1
16:00 10/06/2024 Equatorial Guinea
Malawi
1
0
16:00 10/06/2024 Somalia
Botswana
1
3
19:00 10/06/2024 Guinea-Bissau
Egypt
1
1
19:00 10/06/2024 Benin
Nigeria
2
1
19:00 10/06/2024 Uganda
Algeria
1
2
22:00 10/06/2024 Burkina Faso
Sierra Leone
2
2
22:00 10/06/2024 Ghana
Central African Republic
4
3
22:00 10/06/2024 Guinea
Mozambique
0
1
16:00 11/06/2024 Madagascar
Mali
0
0
16:00 11/06/2024 South Sudan
Sudan
0
3
16:00 11/06/2024 Mauritius
Eswatini
2
1
16:00 11/06/2024 Kenya
Ivory Coast
0
0
19:00 11/06/2024 Zambia
Tanzania
0
1
19:00 11/06/2024 Lesotho
Rwanda
0
1
19:00 11/06/2024 Chad
Comoros
0
2
19:00 11/06/2024 South Africa
Zimbabwe
3
1
19:00 11/06/2024 Cape Verde Islands
Libya
1
0
22:00 11/06/2024 Gabon
Gambia
3
2
22:00 11/06/2024 Seychelles
Burundi
1
3
22:00 11/06/2024 Congo
Morocco
0
6
22:00 11/06/2024 Angola
Cameroon
1
1

Hatua ya Makundi - 5

Date Match Results
03:00 17/03/2025 Zambia
Eritrea
-
-
19:00 19/03/2025 Liberia
Tunisia
0
1
19:00 19/03/2025 Central African Republic
Madagascar
1
4
19:00 19/03/2025 Eswatini
Cameroon
0
0
16:00 20/03/2025 Mozambique
Uganda
3
1
19:00 20/03/2025 Malawi
Namibia
0
1
19:00 20/03/2025 Sierra Leone
Guinea-Bissau
3
1
19:00 20/03/2025 Zimbabwe
Benin
2
2
19:00 20/03/2025 Cape Verde Islands
Mauritius
1
0
22:00 20/03/2025 Gambia
Kenya
3
3
22:00 20/03/2025 Gabon
Seychelles
3
0
22:00 20/03/2025 Libya
Angola
1
1
24:00 21/03/2025 Comoros
Mali
0
3
16:00 21/03/2025 Botswana
Algeria
1
3
16:00 21/03/2025 Equatorial Guinea
Sao Tome and Principe
2
0
19:00 21/03/2025 Burkina Faso
Djibouti
4
1
19:00 21/03/2025 Congo DR
South Sudan
1
0
19:00 21/03/2025 Rwanda
Nigeria
0
2
19:00 21/03/2025 South Africa
Lesotho
2
0
22:00 21/03/2025 Ghana
Chad
5
0
22:00 21/03/2025 Burundi
Ivory Coast
0
1
24:00 22/03/2025 Ethiopia
Egypt
0
2
24:00 22/03/2025 Guinea
Somalia
0
0
24:30 22/03/2025 Niger
Morocco
1
2
19:00 22/03/2025 Togo
Mauritania
2
2
22:00 22/03/2025 Sudan
Senegal
0
0
03:00 17/03/2025 Tanzania
Congo
-
-

Hatua ya Makundi - 6

Date Match Results
03:00 24/03/2025 Niger
Eritrea
-
-
03:00 24/03/2025 Congo
Zambia
-
-
16:00 23/03/2025 Kenya
Gabon
1
2
16:00 23/03/2025 Eswatini
Mauritius
3
3
15:00 24/03/2025 Namibia
Equatorial Guinea
1
1
19:00 24/03/2025 Guinea-Bissau
Burkina Faso
1
2
19:00 24/03/2025 Liberia
Sao Tome and Principe
2
1
19:00 24/03/2025 Central African Republic
Mali
0
0
22:00 24/03/2025 Madagascar
Ghana
0
3
22:00 24/03/2025 Ivory Coast
Gambia
1
0
24:00 25/03/2025 Tunisia
Malawi
2
0
24:00 25/03/2025 Ethiopia
Djibouti
6
1
19:00 25/03/2025 Nigeria
Zimbabwe
1
1
19:00 25/03/2025 Rwanda
Lesotho
1
1
19:00 25/03/2025 Benin
South Africa
0
2
19:00 25/03/2025 Uganda
Guinea
1
0
19:00 25/03/2025 Angola
Cape Verde Islands
1
2
22:00 25/03/2025 Egypt
Sierra Leone
1
0
22:00 25/03/2025 Sudan
South Sudan
1
1
22:00 25/03/2025 Botswana
Somalia
2
0
22:00 25/03/2025 Burundi
Seychelles
5
0
22:00 25/03/2025 Cameroon
Libya
3
1
24:00 26/03/2025 Senegal
Togo
2
0
24:00 26/03/2025 Mauritania
Congo DR
0
2
24:00 26/03/2025 Comoros
Chad
1
0
24:00 26/03/2025 Algeria
Mozambique
5
1
24:30 26/03/2025 Morocco
Tanzania
2
0

Hatua ya Makundi - 7

Date Match Results
03:00 01/09/2025 Eritrea
Zambia
-
-
03:00 01/09/2025 Senegal
Sudan
-
-
03:00 01/09/2025 Nigeria
Rwanda
-
-
03:00 01/09/2025 Tunisia
Liberia
-
-
03:00 01/09/2025 Morocco
Niger
-
-
03:00 01/09/2025 Egypt
Ethiopia
-
-
03:00 01/09/2025 Madagascar
Central African Republic
-
-
03:00 01/09/2025 Mauritania
Togo
-
-
03:00 01/09/2025 Namibia
Malawi
-
-
03:00 01/09/2025 Sao Tome and Principe
Equatorial Guinea
-
-
03:00 01/09/2025 South Sudan
Congo DR
-
-
03:00 01/09/2025 Mauritius
Cape Verde Islands
-
-
03:00 01/09/2025 Mali
Comoros
-
-
03:00 01/09/2025 Ivory Coast
Burundi
-
-
03:00 01/09/2025 Kenya
Gambia
-
-
03:00 01/09/2025 Guinea-Bissau
Sierra Leone
-
-
03:00 01/09/2025 Seychelles
Gabon
-
-
03:00 01/09/2025 Benin
Zimbabwe
-
-
03:00 01/09/2025 Congo
Tanzania
-
-
03:00 01/09/2025 Lesotho
South Africa
-
-
03:00 01/09/2025 Uganda
Mozambique
-
-
03:00 01/09/2025 Chad
Ghana
-
-
03:00 01/09/2025 Angola
Libya
-
-
03:00 01/09/2025 Cameroon
Eswatini
-
-
03:00 01/09/2025 Algeria
Botswana
-
-
03:00 01/09/2025 Djibouti
Burkina Faso
-
-
03:00 01/09/2025 Somalia
Guinea
-
-

Hatua ya Makundi - 8

Date Match Results
03:00 08/09/2025 Congo
Eritrea
-
-
03:00 08/09/2025 Tanzania
Niger
-
-
03:00 08/09/2025 Madagascar
Chad
-
-
03:00 08/09/2025 Mauritania
South Sudan
-
-
03:00 08/09/2025 Gambia
Burundi
-
-
03:00 08/09/2025 Namibia
Sao Tome and Principe
-
-
03:00 08/09/2025 Malawi
Liberia
-
-
03:00 08/09/2025 Sierra Leone
Ethiopia
-
-
03:00 08/09/2025 Burkina Faso
Egypt
-
-
03:00 08/09/2025 Gabon
Ivory Coast
-
-
03:00 08/09/2025 Ghana
Mali
-
-
03:00 08/09/2025 Zambia
Morocco
-
-
03:00 08/09/2025 Congo DR
Senegal
-
-
03:00 08/09/2025 Guinea
Algeria
-
-
03:00 08/09/2025 Kenya
Seychelles
-
-
03:00 08/09/2025 Mozambique
Botswana
-
-
03:00 08/09/2025 Guinea-Bissau
Djibouti
-
-
03:00 08/09/2025 Benin
Lesotho
-
-
03:00 08/09/2025 Uganda
Somalia
-
-
03:00 08/09/2025 Equatorial Guinea
Tunisia
-
-
03:00 08/09/2025 Zimbabwe
Rwanda
-
-
03:00 08/09/2025 Libya
Eswatini
-
-
03:00 08/09/2025 Central African Republic
Comoros
-
-
03:00 08/09/2025 Angola
Mauritius
-
-
03:00 08/09/2025 South Africa
Nigeria
-
-
03:00 08/09/2025 Cape Verde Islands
Cameroon
-
-
03:00 08/09/2025 Togo
Sudan
-
-

Hatua ya Makundi - 9

Date Match Results
03:00 06/10/2025 Eritrea
Morocco
-
-
03:00 06/10/2025 Tanzania
Zambia
-
-
03:00 06/10/2025 Gambia
Gabon
-
-
03:00 06/10/2025 Sao Tome and Principe
Tunisia
-
-
03:00 06/10/2025 Malawi
Equatorial Guinea
-
-
03:00 06/10/2025 South Sudan
Senegal
-
-
03:00 06/10/2025 Mauritius
Cameroon
-
-
03:00 06/10/2025 Sierra Leone
Burkina Faso
-
-
03:00 06/10/2025 Niger
Congo
-
-
03:00 06/10/2025 Ethiopia
Guinea-Bissau
-
-
03:00 06/10/2025 Sudan
Mauritania
-
-
03:00 06/10/2025 Mozambique
Guinea
-
-
03:00 06/10/2025 Rwanda
Benin
-
-
03:00 06/10/2025 Seychelles
Ivory Coast
-
-
03:00 06/10/2025 Lesotho
Nigeria
-
-
03:00 06/10/2025 Botswana
Uganda
-
-
03:00 06/10/2025 Zimbabwe
South Africa
-
-
03:00 06/10/2025 Chad
Mali
-
-
03:00 06/10/2025 Comoros
Madagascar
-
-
03:00 06/10/2025 Liberia
Namibia
-
-
03:00 06/10/2025 Libya
Cape Verde Islands
-
-
03:00 06/10/2025 Central African Republic
Ghana
-
-
03:00 06/10/2025 Burundi
Kenya
-
-
03:00 06/10/2025 Togo
Congo DR
-
-
03:00 06/10/2025 Djibouti
Egypt
-
-
03:00 06/10/2025 Eswatini
Angola
-
-
03:00 06/10/2025 Somalia
Algeria
-
-

Hatua ya Makundi - 10

Date Match Results
03:00 13/10/2025 Eritrea
Tanzania
-
-
03:00 13/10/2025 Senegal
Mauritania
-
-
03:00 13/10/2025 Nigeria
Benin
-
-
03:00 13/10/2025 Tunisia
Namibia
-
-
03:00 13/10/2025 Morocco
Congo
-
-
03:00 13/10/2025 Egypt
Guinea-Bissau
-
-
03:00 13/10/2025 Sao Tome and Principe
Malawi
-
-
03:00 13/10/2025 South Sudan
Togo
-
-
03:00 13/10/2025 Mauritius
Libya
-
-
03:00 13/10/2025 Mali
Madagascar
-
-
03:00 13/10/2025 Ivory Coast
Kenya
-
-
03:00 13/10/2025 Burkina Faso
Ethiopia
-
-
03:00 13/10/2025 Gabon
Burundi
-
-
03:00 13/10/2025 Ghana
Comoros
-
-
03:00 13/10/2025 Zambia
Niger
-
-
03:00 13/10/2025 Congo DR
Sudan
-
-
03:00 13/10/2025 Guinea
Botswana
-
-
03:00 13/10/2025 Seychelles
Gambia
-
-
03:00 13/10/2025 Lesotho
Zimbabwe
-
-
03:00 13/10/2025 Equatorial Guinea
Liberia
-
-
03:00 13/10/2025 Chad
Central African Republic
-
-
03:00 13/10/2025 Cameroon
Angola
-
-
03:00 13/10/2025 South Africa
Rwanda
-
-
03:00 13/10/2025 Algeria
Uganda
-
-
03:00 13/10/2025 Cape Verde Islands
Eswatini
-
-
03:00 13/10/2025 Djibouti
Sierra Leone
-
-
03:00 13/10/2025 Somalia
Mozambique
-
-


Mchakato wa Kufuzu (Jinsi Mashindano Yanavyofanyika)

  1. Hatua ya Kwanza: Timu ziligawanywa katika makundi tisa yenye timu sita kila moja. Kila timu itacheza nyumbani na ugenini dhidi ya wapinzani wote katika kundi lake. Mshindi wa kila kundi anapata tiketi moja kwa moja ya Kombe la Dunia 26.
  2. Hatua ya Pili: Timu nne bora zilizomaliza nafasi ya pili (best runners-up) zitaingia kwenye nusu fainali mbili za mechi moja tu (one-off). Washindi wa nusu fainali hizo watacheza fainali (mchezo mmoja), na mshindi wa fainali ataingia FIFA Play-off Tournament.

Ratiba Kamili ya Mechi za Kufuzu

  • 13-21 Novemba, 2023: Mechi za Mzunguko wa 1 na 2
  • 3-11 Juni, 2024: Mechi za Mzunguko wa 3 na 4
  • 17-25 Machi, 2025: Mechi za Mzunguko wa 5 na 6
  • 1-9 Septemba, 2025: Mechi za Mzunguko wa 7 na 8
  • 6-14 Oktoba, 2025: Mechi za Mzunguko wa 9 na 10
  • 10-18 Novemba, 2025: Michezo ya Mtoano (CAF Play-off Tournament)

Kila mzunguko utatoa fursa muhimu kwa kila timu kukusanya pointi ili kuongoza msimamo wa makundi kufuzu kombe la dunia 2026 Africa. Mashabiki nchini Tanzania watafuatilia kwa karibu msimamo wa kundi E, ambapo Taifa Stars wanapambana na vigogo wa soka barani.


FIFA Play-Off Tournament

FIFA Play-Off Tournament ni hatua ya ziada itakayohusisha timu sita kupigania nafasi mbili za mwisho za kushiriki Kombe la Dunia 2026. Mashindano haya yatashirikisha timu mbili kutoka Concacaf na timu moja kutoka kila moja ya AFC, CAF, CONMEBOL na OFC.

Timu nne zenye viwango vya chini zitaanza kwenye nusu fainali mbili (michezo ya mechi moja). Timu mbili zenye viwango vya juu zitaanzia moja kwa moja kwenye fainali. Washindi wa michezo miwili ya fainali watafuzu moja kwa moja kwenda Kombe la Dunia 26.


Takwimu za Ushiriki wa Timu za Afrika Katika Kombe la Dunia

Tangu kuanza kwa michuano hii mikubwa ya soka duniani, timu kadhaa za Afrika zimewahi kufuzu Kombe la Dunia mara nyingi. Zifuatazo ni takwimu za ushiriki wa timu za Afrika kwenye Kombe la Dunia:

  • 8 – Cameroon
  • 6 – Morocco
  • 6 – Nigeria
  • 6 – Tunisia
  • 4 – Ghana
  • 4 – Algeria
  • 3 – Senegal
  • 3 – Egypt
  • 3 – South Africa
  • 3 – Côte d'Ivoire
  • 1 – DR Congo (ikiwa Zaire)
  • 1 – Angola
  • 1 – Togo


Bonasi na Ofa

Betway - Bet kuanzia Tsh. 100

Bet Kuanzia Tsh. 100

Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

GSB Ofa - Beti Jackpot Bure

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!

Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Gal Sport Betting Ofa - 100% ofa ya ukaribisho

Ofa ya Ukaribisho 100%

Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

Leonbet Ofa - 5,000 BURE

5,000 BURE! Ofa ya App

Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Leonbet Ofa - Rudishiwa 10%

Rudishiwa 10% Kila Siku

Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!